Kitaa dot com!
By Unknown - Aug 2, 2012
Kila jambo huja kwa wakati wake na kuna kusudi kwa kila jambo ingawa baadhi huwa ni wagumu kuukubali. Ukweli hasa unapogusa hisia zao kwa undani zaidi.
Alright, ni vizuri unaweza kuongeza jitihada zako binafsi kwa hali na mali kuhakikisha jambo fulani linafanikiwa au kufanyika kwa mtazamo ule unaoutaka wewe, kama sio mkondo wake hakika litakusumbua tu. Unaweza hamisha mto kwa wakati fulani, muda ukiwadia maji yatafurika tu na kusababisha madhara makubwa. Ishi kama mwisho wa mwezi umefika, wakati wowote mwenye nyumba anakuja kuchukua kodi yake sio kujisahau atakuumbua kwa kuja kuweka kufuli mlangoni wakati huo wewe ndio umetoka kupokea wageni uliowaalika kuja kufanya sherehe tena kwako ukitamba kuwa nyumba ni ya kwako kumbe umepanga.
Kuna mwanafalsafa mmoja aliwahisema kuwa You can cheat all people some of the time and you can cheat some people all the time but for sure you cannot cheat all people all time! Kwa faida ya wote, "Unaweza kuwadanganya watu wote wakati fulani na pia unaweza kuwadanganya baadhi ya watu muda wote lakini huwezi kuwadanganya watu wote muda wote"
Kibwagizo cha leo:
Death came to a guy and said; my friend today is your day. the guy grumbled;am not ready!Death said;your name is next on my list.the guy said; ok sit down let me get you food to eat,death said alright!the guy gave death food with sleeping pills in it,after eating death fell into a deep sleep.While death was asleep,the guy took the list,removed his name from the top and put it on the bottom of the list. When mr death woke up he said to the guy; MR GUY,YOU HAVE BEEN SO NICE TO ME, I WILL START FROM THE BOTTOM, just imagine huh
Na Maganga Media
Follow Maganga Media on Twitter, Feel free to like and comment Facebook. Stay updated via RSS
ANDIKA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
HABARI ZINAZOHUSIANA NA HII KATIKA feature,katuni,Maganga Media