HABARI MPYA LEO  

Redd's Miss Tanga 2012 ni Theresia Kimaro

By Unknown - Jul 7, 2012

Redd's Miss Tanga 2012,Theresia Kimaro (katikati) akiwa katika picha ya Pamoja na mshindi wa pili,Beatroce Joseph na wa tatu Johari Harom muda mfupi baada ya kumalizika kwa shindano lao liliilofanyika usiku huu kwenye Uwanja wa Mkwakwani,Jijini Tanga leo.
Washiriki walioingia tano Bora.
Washiriki wote stejini.

Follow Maganga Media on Twitter, Feel free to like and comment Facebook. Stay updated via RSS

ANDIKA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII