HABARI MPYA LEO  

Mwanza yaendelea kuongoza mashindano ya usafi wa mazingira

By Unknown - Jul 31, 2012

File:Mwanza city-5.jpg


Mchanganuo wa Washindi
1 Ngazi ya Halmashauri ya Jiji
  1. Mshindi wa kwanza                  Jiji la Mwanza
 Ngazi ya Halmashauri za Jiji 
Na.
Jiji
Alama
Jumla ya Alama
Asilimia (%)
1
Mwanza
775
1025
76
2
Mbeya
748
1025
73
3
Tanga
705
1025
69

Wastani katika ngazi ya Jiji ni asilimia 72

 
6.2.2 Ngazi ya Halmashauri ya Manispaa
  1. Mshindi wa kwanza                              Manispaa ya Moshi
  1. Mshindi wa pili                           Manispaa ya Arusha
  1. Mshindi wa tatu                          Manispaa ya Bukoba
6.2.3 Ngazi ya halmashauri ya Mji
  1. Mshindi wa kwanza                  Mji wa Mpanda
  1. Mshindi wa pili                           Mji wa Njombe
* Ngazi hii washindi wawili tu hutunukiwa zawadi na hii imetokana na Halmashauri hizi kuwa chache (5).
6.2.4 Ngazi ya Halmashauri ya Wilaya
  1. Mshindi wa kwanza                  Wilaya ya Meru
  1. Mshindi wa pili                           Wilaya ya Njombe
  1. Mshindi wa tatu                          Wilaya ya Rungwe

Follow Maganga Media on Twitter, Feel free to like and comment Facebook. Stay updated via RSS

ANDIKA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII