Kesi Ya Profesa Mahalu Imeahirishwa
By Unknown - Jul 11, 2012
Hukumu ya Kesi inayomkabili aliyekuwa balozi wa Tanzania nchia Italia Profesa Costa Mahalu imeahirishwa mpaka tarehe 9 mwezi ujao. Sababu kuu ya luahirishwa ni Hakimu anayesimamia kesi hiyo kutokuwepo.
Follow Maganga Media on Twitter, Feel free to like and comment Facebook. Stay updated via RSS
ANDIKA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII