HABARI MPYA LEO  

Video mpya ya Dogo Aslay

By Unknown - Jun 30, 2012

Staa wa single ya naenda kusema kwa mama… Dogo Aslay show zake alizozifanya baada ya muziki wake kufanikiwa kupenya na kuwa sehemu ya hitaji la watanzania wengi kwenye swala la burudani, katuletea tena mzigo mpya… hapo chini ni video ya single yake mpya.. itazame, comment, like na pia tweet ili na wenzako waone! tumsupport azidi kuisaidia familia yake vizuri!


Follow Maganga Media on Twitter, Feel free to like and comment Facebook. Stay updated via RSS

ANDIKA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII