HABARI MPYA LEO  

Tume ya katiba yakutana na wana habari Zanzibar

By Unknown - Jun 21, 2012


Baadhi ya Wajumbe wa Tume ya mabadiliko ya Katiba wakiwa katika Mkutano wa Tume hio na Waandishi wa Habari uliofanyika Bwawani Mjini Zanzibar.

Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Joseph Warioba akisisitiza jambo katika mkutano wa Tume hio na Waandishi wa Habari uliofanyika Bwawani Mjini Zanzibar.



Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Joseph Warioba akitoa hotuba katika mkutano wa Tume hio na Waandishi wa Habari uliofanyika Bwawani Mjini Zanzibar.kulia kwake ni Makamu Mwenyekiti wa Tume hio Agostino Ramadhan.
Mwandishi wa Habari Kutoka Idara ya Habari Maelezo akiuliza maswali katika Mkutano wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba uliofanyika Bwawani Mjini Zanzibar.

Mwandishi wa Habari Kutoka Gaazeti la Majira Mwajuma Juma akiuliza maswali katika Mkutano wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba uliofanyika Bwawani Mjini Zanzibar.

Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika Mkutano wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba uliofanyika Bwawani Mjini Zanzibar.


Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika Mkutano wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba uliofanyika Bwawani Mjini Zanzibar.

Follow Maganga Media on Twitter, Feel free to like and comment Facebook. Stay updated via RSS

ANDIKA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII