HABARI MPYA LEO  

Miss Progress International azua balaa ukumbini!

By Emmanuel Maganga - Jun 23, 2012JUZIKATI mrembo anayeshikilia taji la Miss Progress International, Julieth William (pichani juu kulia) alizua gumzo ukumbini kufuatia kuvaa kigauni kifupi mno ambacho kiliacha wazi kufuli lake jeupe.


Tukio hilo lilinaswa na mpekuzi wetu kwenye sherehe ya siku yake ya kuzaliwa iliyofanyika ndani ya Ukumbi wa Nyumbani Lounge, Kinondoni jijini Dar ambapo kila alipokuwa akikaa kufuli lake lilionekana licha ya kufanya jitihada za kulificha. Kitendo hicho kiliwafanya baadhi ya waalikwa kumjadili huku wakieleza kuwa, kuvaa nguo fupi kweli ni fasheni lakini yake ilikuwa imezidi.


“Duh!Unajua huyu alikuwa anajifanya mstaarabu sana hebu ona alivyokaa mtupu, anamuonesha nani lich**i lake?Hata kama kuvaa nguo fupi ni fasheni lakini hii ni too much,” alisikika akisema mmoja wa waalikwa aliyekuwa ameketi karibu na mrembo huyo.

Follow Maganga Media on Twitter, Feel free to like and comment Facebook. Stay updated via RSS

ANDIKA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII