Kongamano la UDSM
By Maganga Media - Jun 11, 2012
Profesa Bernadeta Killian wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam akitoa mada juzi mjini Dar es salaam kuhusu kitabu cha Profesa Goran Hyden cha Beyond Ujamaa in Tanzania wakati wa kongamano la siku moja la wanataalum liloandaliwa maalum na Chuo Kikuu cha Dar es salaam la kutambua mchango wake kitaalum.
Waziri Mkuu Mstaafu wa Uganda Profesa Apolo Nsibambi(kulia) akichangia mada juzi mjini Dar es saam wakati wa kongamano la siku moja la wanataalum liloandaliwa maalum na Chuo Kikuu cha Dar es salaam la kutambua mchango wa Profesa Goran Hyden alioutoa ndani na nje Tanzania. Wengine ni Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma George Yambesi(katikati) na Profesa Goran Hyden(kushoto)
Follow Maganga Media on Twitter, Feel free to like and comment Facebook. Stay updated via RSS
ANDIKA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII