HABARI MPYA LEO  

Wabunge wa Ukraine wapigaga Bungeni!

By Maganga Media - May 26, 2012


Wabunge wa nchini Ukraine wakizichapa kavukavu wakati wakiwa katika moja ya Kikao cha Bunge nchini humo baada ya kupishana msimamo kuhusu matumizi ya Lugha ya Kirusi wakitaka itumike katika Mahakama za nchi hiyo.  Wabunge wa chama cha Rais Viktor Yanukovich, wanataka lugha ya Kirusi ikubaliwe kama lugha rasmi ya pili nchini humo jambo ambalo wabunge wa vyama vya upinzani wanapinga vikali kupitishwa kwa sheria hiyo ambayo ingeruhusu lugha ya Kirusi kutumiwa katika mahakama.


Wabunge hao wakiendelea na sinema yao ya kuonyeshana umwamba ndani ya ukumbi huo wa Bungeni.

Follow Maganga Media on Twitter, Feel free to like and comment Facebook. Stay updated via RSS

ANDIKA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII