HABARI MPYA LEO  

TAARIFA MUHIMU

By Maganga Media - May 21, 2012

Nawashukuru wote mliopendekeza blog yangu katika mashindano ya blog yanayoendelea hadi sasa. Naomba niweke wazi maelekezo muhimu kwani kwa masikitiko makubwa baadhi ya kura zinapotea.

  • Unapopiga kura nipigie katika kipengele cha "Best Newcomer Blog" PEKEE. 
  • Ndani ya kiboksi unaandika "maganga-resources.blogspot.com" 
  • Kisha kwa chini ya fomu chagua kuwa blog ipo huru kwa wasomaji wa umri wowote kisha tuma kwa kubofya SUBMIT
Kwa wale walioandika tofauti na hivyo nawaomba kwa upendo mrudie tena kupiga kura. Zimebaki siku kumi tu. Wahi sasa. AHSANTE.

Follow Maganga Media on Twitter, Feel free to like and comment Facebook. Stay updated via RSS

ANDIKA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII