HABARI MPYA LEO  

Rais Kikwete ziarani Addis Ababa

By Maganga Media - May 9, 2012

Anahudhuria mkutano wa jukwaa la  uchumi kanda ya afrika (WEF) 

Rais Jakaya Kikwete akisalimiana viongozi na maafisa mbalimbali alipowasili hoteli ya Sheraton jijini Addis Ababa usiku wa kuamkia leo April 9,  2012 tayari kuhudhuria Kongamano la Uchumi la Kimataifa kwa Afrika  linaloshirikisha zaidi ya viongozi 700 wa nchi, biashara na uchumi
kutoka sehemu mbalimbali duniani.
Rais Jakaya Kikwete katika maungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa USAID Dkt  Rajiv Shah katika hoteli ya Sheraton jijini Addis Ababa leo April 9, 2012  ambako kwa pamoja wanahudhuria Kongamano la Uchumi la Kimataifa kwa  Afrika linaloshirikisha zaidi ya viongozi 700 wa nchi, biashara na  uchumi kutoka sehemu mbalimbali duniani.Picha na IKULU

Follow Maganga Media on Twitter, Feel free to like and comment Facebook. Stay updated via RSS

ANDIKA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII