HABARI MPYA LEO  

Ofisi ya Waziri Mkuu Libya yashambuliwa

By Maganga Media - May 9, 2012

Waziri mkuu Libya Abdel-Rahim al-Kib
Maafisa wawili wa usalama nchini Libya wameuawa baada ya waasi wa zamani kushambulia ofisi ya Waziri Mkuu Abdel-Rahim al-Kib mjini Tripoli.

Follow Maganga Media on Twitter, Feel free to like and comment Facebook. Stay updated via RSS

ANDIKA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII