HABARI MPYA LEO  

Mazishi ya Mafisango!

By Maganga Media - May 21, 2012

Patrick Mafisango amezikwa jana Nyumbani Kwao Lemba ni nje kidogonchini DRC

Ni nje kidogo ya jiji la Kinshasa.
Pichani waombolezaji wakibeba jeneza la mwili wa Marehemu Patrick Mutesa Mafisango aliyekuwa mchezji wa timu ya Simba wakati wa mazishi ya mchezaji huyo leo huko Lemba nje kidogo ya jiji la Kinshasa DRC Congo. Atakumbukwa daima na wapenzi wa soka Tanzania na Rwanda.
 Mwili wa mchezaji wa Simba Marehemu Patrick Mafisango umewasili nchini DRC Congo jana kwa mazishi ambapo leo ndiyo mazishi yanafanyika kama inavyoonekana katika picha ukiwa umewekwa tayari kwa ndugu jamaa na marafiki kuuagwa kabla ya kuuzika nyumbani kwao Lemba nje kidogo ya jiji la Kinshasa!.
 Ndugu na jamaa wakiwa katika msiba huo huko nchini DRC Congo

Follow Maganga Media on Twitter, Feel free to like and comment Facebook. Stay updated via RSS

ANDIKA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII