HABARI MPYA LEO  

Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi katika viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar

By Maganga Media - May 2, 2012

m


m1
Maandamano ya Wafanyakazi wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani iliyofanyika Kimkoa katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo. 
3+%283%29
m4
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mwantumu Mahiza (katikati) akiwaongoza wafanyakazi wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani iliyofanyika Kimkoa katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo.
m6
Mratibu wa TUCTA mkoa wa Dar es Salaam, Mussa Mwakaringa akizungumza katika Maadhimisho hayo.
m7
m8
Baadhi ya Wafanyakazi wakiwa kwenye kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani.

Follow Maganga Media on Twitter, Feel free to like and comment Facebook. Stay updated via RSS

ANDIKA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII