HABARI MPYA LEO  

MAGUFULI AZIDIWA GHAFLA BUNGENI

By Maganga Media - Apr 18, 2012

Waziri wa Ujenzi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli amezidiwa ghafla na kukimbizwa hospitalini na kulazwa ICU huko Dodoma wakati Bnge la tisa linaendelea.

Kwa mujibu wa Naibu Spika, Job Ndugai Dk. Magufuli alikumbwa na homa ya ghafla ambapo baada ya kukimbizwa Hospital  ilibainika kuwa presha yake ilikuwa juu na ana kichomi upande wa kushoto wa mbavuni.

Wakati huo Mbunge wa Temeke Abbas Mtemvu abbas ajali  huko Morogoro katika gari alilokuwa akisafiria. Amekimbizwa hospitali ya taifa ya Muhimbi kwa matibabu zaidi. Habari baadae



Follow Maganga Media on Twitter, Feel free to like and comment Facebook. Stay updated via RSS

ANDIKA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII