HABARI MPYA LEO  

Maelfu ya watu wafurika kumuaga Kanumba

By Maganga Media - Apr 10, 2012

Maelfu ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam wamejitokeza katika viwanja vya Leaders clab kwa ajili ya kumuaga marehemu Steven Charles Kanumba, msanii maarufu wa filamu nchini Tanzania.




Mwili wa Marehemu Steven Kanumba ukiwa umekwishawasili kwenye viwanja vya Lidaz Club,Kinondoni jijini Dar mapema hii asubuhi tayari kwa watu mbalimbali wakiwemo viongozi wa serikali kuanza kuuaga mwili.
Jeneza likiwasili uwanjani
There are so many people...



There is a special choir for the event..
 

Baadhi ya watu wameripotiwa kuzimia na hivyo kulazimika baadhi ya watu kuwasaidia wakishirikiana na watu wa Huduma ya kwanza wanaoonekana kuzidiwa na umati wa watu.

 


 

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjMXgsoajQXUrFzLAy0-NbFJvhHigbnFY03tOTITDiEqFo7sAUjo9Jk7pE4PZ-aosbbCH8NcsmYP-Xdcr9v8dJc8m4FXGrlpwpcnBws9jpJ1m9-tSpTzBZhKVBc04qErM93vFzJpOmUf1ks/s640/kanumba4.jpg

Follow Maganga Media on Twitter, Feel free to like and comment Facebook. Stay updated via RSS

ANDIKA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII