HABARI MPYA LEO  

JK amkaribisha Rais wa Liberia ikulu leo!

By Emmanuel Maganga - Jul 17, 2012

Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete wakiwa na mgeni wao Rais Ellen Johnson Sirleaf wa Liberia alipowasili Ikulu jijini Dar es Salaam leo kwa maongezi rasmi pamoja na dhifa ya kitaifa.

(PICHA NA IKULU)

Follow Maganga Media on Twitter, Feel free to like and comment Facebook. Stay updated via RSS

ANDIKA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII