Bashir aapa kuwakomboa raia wa S.Sudan
By Maganga Media - Apr 19, 2012
Wanajeshi wa Sudan Kusini |
Rais wa Sudan Omar al Bashir , amesema anataka kuwakomboa raia wa Sudan Kusini kutoka kwa serikali yao kufuatia mapigano yanayoendelea kwenye mpaka kati ya nchi hizo mbili.
Aliitaja Sudan Kusini kama mdudu ambao unafaa kuangamizwa. Mapigano kati ya nchi hizo mbili yamesambaa nje ya eneo la Heglig lenya visima vya mafuta na ambalo linadhibitiwa na Sudan Kusini.
Follow Maganga Media on Twitter, Feel free to like and comment Facebook. Stay updated via RSS
ANDIKA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII