Jun 16, 2012

Tanzania yasaini mkataba na Benki ya Dunia TASAF 3



Katibu mkuu wizara ya fedha, Ramadhani Kijah kushoto na Mwakilishi wa benki ya dunia Pilppe Dongier wakisaini mkataba wa Mpango wa TASAF 3 unaolenga kuwasaidia watu wanaoishi maisha ya matumizi ya chini ya dola moja kwa siku hasa nchini Tanzania ili kuwapunguzia ukali wa maisha. www.habarimpasuko.blogspot.com







Katibu mkuu wizara ya fedha, Ramadhani Kijah kushoto na Mwakilishi wa Benki ya dunia Pilppe Dongier wakikabidhiana mikataba baada ya kumaliza kusaini