
Mmoja wa wakazi wa jijini Dares Salaam aliyefika Coco-Beach kushuhudia uzinduzi wa Tamasha la”WAJANJA”Linaloendeshwa na Vodacom Tanzania akipata huduma ya Vodacom Dstv

Umati mkubwa wa watu

Msanii wa kikundicha cha Pah- one akipagawisha wakazi wa jiji la Dares Salaam waliofika katika uzinduzi wa tamasha la”WAJANJA” tamasha hilo linaendeshwa na Vodacom Tanzania.