Jun 23, 2012

Mkulima atembeza bata wake 500 barabarani

MKULIMA mmoja wa nchini china akiwa na bata wake idadi ya 500, akidai anawafanyisha mazoezi barabarani.